MRADI WA MAJI CHALINZE WAMKOSHA WAZIRI KUNDO, ATOA MAAGIZO
Na Mwandishi Wetu,Bagamoyo Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu na kuridhishwa na utekelezaji wa mradi huo unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 wa Mji wa Chalinze. Akizungumzia na wakazi wa Kata ya Msata alipotembelea moja ya vizimba vinavyohudumia wakazi wa eneo hilo, Naibu…