LALJI FOUNDATION YAKABIDHI VIFAA VYA SHULE KWA WATOTO WENYE MAHITAJI
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WATOTO 400 wenye uhitaji kutika vituo tofauti vya kulelea watoto wamekabidhiwa vifaa mbalimbali vya shule vikiwemo mabegi,sare za shule,soksi na viatu. Vifaa hivyo vimekabidhiwa na Taasisi ya Lalji Foundation mbele ya Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaluumu Mwanaidi Ally Khamis ambapo ameipongeza taasisi kwakuwasaidia watoto hao…