
DK KAZUNGU:MEGAWATI 30 ZA JOTOARDHI KUINGIA KWENYE GRIDI IFIKAPO 2026/2027
Abu Dhabi, UAE Imeelezwa kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye rasilimali kubwa ya uwekezaji miradi ya jotoardhi ambapo jumla ya megawati 30 zinatarajiwa kuingizwa kwenye gridi ya Taifa ifikapo mwaka 2026/2027 Hii inafuatia uwepo wa Megawati 5000 za umeme na Megawati 15000 za Joto Kwa ajili ya matumizi ya Moja Kwa moja kwenye miradi…