
RAIS SAMIA:SIJAWAHI KUTOA MAAGIZO YA MTU ASILIPE KODI
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amesema hajawahi kutoa maelekezo kwa mtu yeyote asilipe kodi na kusisitiza kuwa kila mmoja anapaswa kutimiza wajibu wake ili kujenga maendeleo ya nchi. Dk.Samia ametoa kauli hiyo juzi usiku wakati wa hafla ya tuzo za mlipa kodi zilizoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Amesema wapo…