
DAWASA, WANANCHI MSHIKAMANO WAJADILIANA UPATIKANAJI MAJI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SERIKALI kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imesema inaendelea na mchakato wa manunuzi ya pampu zitakazosaidia kuongeza ufanisi katika mtambo wa uzalishaji maji Ruvu Juu ambao husambaza maji katika maeneo mbalimbali ikiwemo eneo la Mbezi katika Wilaya ya Ubungo. Hayo yamesemwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa…