
WAGONJWA 12 KUFANYIWA UPASUAJI WA MGONGO KWA KUTUMIA MATUNDU MADOGO KATIKA KAMBI MAALUM YA MATIBABU MOI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAGONJWA 12 wanatarajiwa kufanyiwa a wa mgongo kwa kutumia teknolojia mpya ya upasuaji kwa matundu madogo (Spine Endoscope) katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wakati wa kambi maalum ya mafunzo ya matibabu hayo yanayoendelea MOI. Hayo yamebainishwa leo Jumatatu Februari 3, 2025 na Mratibu mwenza wa…