
GAVANA BWANKU APITA KWENYE MASHAMBA YA KAHAWA KUKAGUA UGONJWA WA BUNGUA
Na Mwandishi Wetu,Kagera Zao la kahawa ni uti wa mgongo wa uchumi wa mkoa wa Kagera likichangia pakubwa kwenye makusanyo yatokanayo na mazao. Kwasasa zao hili kinara kwenye Halmashauri ya Bukoba Vijijini lina tishio la ugonjwa wa Bungua mweusi unaoshambulia vibaya zao la kahawa na kuimaliza kabisa. Tayari kwenye Tarafa ya Katerero, Kata mbili za…