
KIHENZILE AWAPONGEZA WAFANYAKAZI WIZARA YA UCHUKUZI UTEKELEZAJI MIRADI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amewapongeza wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi pamoja na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kwa kufanya vizuri katika kufanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ambayo ni mikubwa na ya kimkakati. Kihenzile ameyasema hayo leo Machi 21 2025 wakati wa kufungua mkutano wa baraza la wafanyakazi wa…