
TUZO YA UBUNIFU YA MWALIMU NYERERE KUTOLEWA APRILI 13
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam HAFLA ya utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kwa mwaka 2025 inatarajiwa kufanyika Aprili 13 katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. Hayo yamebainishwa jana Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar…