
MSIGWA:WAKUU WA MIKOA ANDAENI MAENEO YA UPANDAJI MITI
Na. Mwandishi Wetu – MAELEZO, Zanzibar. KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewaomba wakuu wa Mikoa ambao maeneo yao itafanyika mikutano ya maafisa habari kua ukondaa maeneo kwa ajili ya shughuli ya upandaji miti ili kuunga mkono ajenda ya kitaifa ya uhifadhi wa mazingira….