
MAJALIWA MGENI RASMI KIKAO KAZI WATENDAJI SEKTA YA SANAA
Na Mwandishi Wetu,Dar es SalaamWAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kikao kazi cha watendaji wa sekta ya sanaa,Utamaduni, na Michezo nchini kwa lengo la kujadili mipango ya utekelezaji wa sera,ilani,mikakati ya kitaifa na kimataifa katika ngazi ya Miji, Wilaya, Mikoa na Taifa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana…