
EWURA YAZITAKA KAMPUNI ZA GESI KUONGEZA MAWAKALA,KUDHIBITI UCHAKACHUAJI
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za nishati na Maji (Ewura) imezitaka Kampuni za gesi kuongeza idadi ya mawakala wa usambazaji kwenye maeneo mengi ili kuepusha watu kwenda kununua gesi kwa wauzaji wasio rasmi. Wito huo umetolewa leo Aprili 24, 2025 na Meneja wa Ewura, Kanda ya Mashariki, Mhandisi Nyirabu…