KAMPENI YA ‘TOBOA KIDIGITALI’ YA TCB  KUHAMASISHA MATUMIZI HUDUMA KIDIGITI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salam BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua kampeni mpya ya kitaifa iitwayo “Toboa Kidijitali,” yenye lengo la kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kisasa ya kufanya miamala ya kifedha na kuongeza ujumuishi wa kifedha nchini. Kampeni hiyo ambayo ina lengo pia lakurudisha sehemu ya faida katika jamii itadumu  kwakipindi cha miezi minne…

Read More

ONGEZEKO LA MAPATO NAMANGA LAMKOSHA DKT. BITEKO

Na Mwandishi Wetu,Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameeleza kufurahishwa kwake na ongezeko la ukusanyaji wa mapato katika kituo cha huduma za pamoja mpakani mwa Tanzania na Kenya cha Namanga. Akizungumza jana Aprili 24, 2025 Namanga mkoani Arusha wakati katika ziara yake ya kutembelea miradi ya maendeleo ikiwa ni…

Read More

DCEA YAKAMATA TANI 14 ZA KEMIKALI BASHIRIFU

Na Aziza Masoud,Dar es SalaamMAMLAKA ya Kupambana na Kudhibiti Madawa ya Kulevya (DCEA) kwakushirikiana na vyombo vingine vya dola, wamefanikiwa kuzuia tani 14 za kemikali bashirifu zilizokuwa ziingizwe nchini kinyume cha sheria. Akizungumza na waandishi wa habari jana Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa DCEA Kamishna Jenerali Aretas Lyimo alisema mpaka sasa operesheni hiyo…

Read More