
MSIGWA:TUTAFANYIA KAZI HARAKA MAAZIMIO YA KONGAMANO LA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
Na Mwandishi Wetu,Arusha SERIKALI imesema itahakikisha inafanyia kazi mapendekezo yote yatakayotolewa kwenye maazimio ya pamoja ya Waandishi wa Habari baada ya kuhitimisha Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa mwaka 2025. Hakikisho hilo la Serikali limetolewa leo tarehe 28 Aprili, 2025 na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na…