
KAILIMA AWATAKA WANANCHI WAJITOKEZE KUHAKIKI, KUBORESHA TAARIFA ZAO TABORA
Na Mwandishi Wetu, Tabora. MKURUGENZI wa Tume Huru ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima amewataka wananchi wa Mkoa wa Tabora kujitokeza kuhakiki na kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na uwekaji wazi wa Daftari la Awali la Wapiga Kura kwenye vituo walivyojiandikishia na kutazama daftari la awali lilolowekwa wazi na kutoa taarifa za…