
WAZIRI MAVUNDE ATANGAZA KIAMA KWA KAMPUNI 95 ZA UCHIMBAJI MADINI
Na Mwandishi Wetu,Dar Es Salaam SERIKALI imetoa Hati za Makosa kwa Kampuni 95 za Uchimbaji Mkubwa na wa Kati wa Madini kutokana na wamiliki wa leseni hizo kukiuka masharti ya Leseni kama yalivyoainishwa kwenye Sheria ya Madini. Akizungumza leo Mei 6, 2025 jijiini Dar es Salaam, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amesema kampuni hizo…