
KIHENZILE AWATAKA WATALAAM WA LOGISTIKI KUWASAIDIA MADEREVA KUPATA STAHIKI ZAO
Na Aziza Masoud,Dar es SalaamNAIBU Waziri wa Wizara ya Uchukuzi David Kihenzile amezindua rasmi Chama cha Wataalam wa Lojistiki na Usafirishaji Tanzania (TALTA) huku alisisitiza kuangalia maslahi ya madereva likiwemo maslahi ili kuwasaidia wanapopata changamoto kazini. Alisema ni muda sahihi sasa wa chama kukaa chini kuangalia na kupata majibu ya changamoto zilizopo na kuzifanyia maboresho….