
DKT. DORIYE AVISHA VYEO VYA KIJESHI MAAFISA 145 NA ASKARI 476 WA NCAA
Na Kassim Nyaki, NCAA. Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) Dkt. Elirehema Doriye leo tarehe 12 Mei, 2025 amevisha vyeo jumla ya watumishi 621 ikijumuisha Maafisa 145 na askari 476 wa jeshi la Uhifadhi. Akizungumza na watumishi hao baada ya kuwaapisha na kuwavisha vyeo Dkt. Doriye amewasisitiza maafisa na…