KAPINGA:ZAIDI YA NYUMBA 800 MTWARA KUUNGANISHWA NA MFUMO WA GESI YA KUPIKIA 

Na Mwandishi Wetu,Dodoma NAIBU Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) inatarajia kuunganisha mfumo wa gesi ya kupikia katika nyumba takribani 865 mkoani Mtwara kwenye maeneo ambayo yana miundombinu ya bomba la gesi. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Mei 13, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu…

Read More