
GREEN ACRES,CRDB WATOA MSAADA WODI YA WATOTO HOSPITALI YA MWANANYAMALA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SHULE za Green Acres imefanya ziara na kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa ajili yakuwasaidia wagonjwa waliojifungua,wenye watoto njiti na waliolazwa kwa sababu mbalimbali katika wodi ya watoto hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala. Msaada huo ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 25 tangu kaunzishwa kwa shule…