MKURUGENZI TANESCO ATEMBELEA TGDC

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MKURUGENZI  Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Lazaro Twange amefanya ziara ya kikazi kwa kuitembelea Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) ambayo ni Kampuni Tanzu ya shirika hilo leo Mei 15, 2025 kwa lengo la kuzifahamu taasisi zilizo chini ya shirika analolisimamia. Akiongea na Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti pamoja…

Read More

KAILIMA AONYA WATAKAOVURUGA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Na Mwandishi Wetu, Morogoro. Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amesema Tume haitamvumilia mtu yeyote atakayehusika na kuvuruga zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kujiandikisha katika vituo zaidi ya kimoja. Kailima ametoa onyo hilo Mei 15, 2025, wakati akizungumza katika mafunzo ya waandishi wasaidizi na…

Read More

DOYO AWAKUMBUSHA WADAU KUZINGATIA SHERIA YA USAJILI

Na Mwandishi Wetu,Morogoro KATIBU Mkuu wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassani Doyo, ametoa rai kwa taasisi na mashirika kuhakikisha wanazingatia sheria za usajili kabla ya kushiriki katika shughuli za kisiasa, hususan kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Morogoro katika kikao cha Baraza la Vyama…

Read More