ELIMU YA NISHATI SAFI YA UMEME KUPIKIA YAWAKOSHA WAANDISHI WAENDESHA OFISI NCHINI

Na Mwandishi Wetu Arusha. Waandishi Waendesha Ofisi kutoka taasisi mbalimbali nchini wamelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kuwapatia elimu sahihi ya matumizi ya Nishati Safi ya umeme kupikia hali itakayosaidia kuondokana na matumizi ya Nishati zisizo salama ikiwemo kuni na Mkaa. Wamebainisha hayo tarehe 15, 2025 baada ya kutembelea Banda la TANESCO katika maonesho…

Read More