
CG MWENDA ABAINI UKWEPAJI KODI MKUBWA VIWANDANI
Na Mwandishi Wetu,Pwani KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 17.05.2025 amefanya ziara ya kushitukiza kwenye baadhi ya Viwanda vilivyopo wilayani Mkuranga mkoani Pwani na kubaini kuwepo kwa ukwepaji mkubwa wa Kodi unaofanywa na wamiliki wa Viwanda hivyo. Akiwa katika kiwanda cha kuzalisha viatu vya Plastiki maarufu kama Yeboyebo…