
TEF YAWATAKA WAANDISHI WA HABARI KUZINGATIA MISINGI YA TAALUMA
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewataka waandishi wa habari nchini kuzingatia misingi ya taaluma ya uandishi wa habari kwa kutoa taarifa sahihi, zenye uhalisia na kuepuka matumizi ya picha potofu kutoka mitandaoni. Akizungumza katika Ofisi za TEF jijini Dar es Salaam, Balile alisema waandishi wanapaswa kutumia…