
MCHUNGAJI HANANJA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUACHA KUISHUTUMU SERIKALI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MCHUNGAJI Richard Hananja amelaani vikali tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kutumia majukwaa ya kidini kwa ajili ya kujitafutia umaarufu kupitia matukio ya utekaji au kupotea kwa watu nchini. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mchungaji Hananja amesema hakuna dini wala mtu mwenye maadili anayeweza…