
TTB YATEULIWA KUANDAA TUZO ZA UTALII UKANDA WA AFRIKA
Na Aziza Masoud,Dar es salaam. ZAIDI ya washiriki 500 kutoka nchi mbalimbali duniani ambao ni wadau wa utalii wanatarajiwa kushiriki tuzo za 32 za kimataifa utalii wa Ukanda wa Afrika na Bara la Hindi zinazotarajiwa kufanyika nchini Juni 26 mwaka huu. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini (TTB)…