
TAMWA YALAANI MASHAMBULIZI VIONGOZI WANAWAKE MITANDAONI
Na Aziza Masoud Dar es Salaam CHAMA Cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kimesema kinalaani vikali aina yoyote ya mashambulizi ya kijinsia dhidi ya wanawake hasa viongozi wa kisiasa kupitia mitandao ya kijamii. Kauli hiyo imetolewa leo Juni 27, 2025,Mwasisi wa TAMWA Halima Sharif katika Mkutano Mkuu wa chama hicho uliokutanisha wanachama wa chama hicho…