
ALIYEONGOZA KURA ZA MAONI VUNJO 2020,KUMKABILI TENA DK.KIMEI
Na Mwandishi Wetu, Moshi Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Enock Koola (35), ambaye aliongoza katika kura za maoni katika kinyang’anyiro cha ubunge mwaka 2020, amechukua tena fomu ya kuwania tena nafasi hiyo ya uwakilishi, akiwa miongoni mwa waliojitokeza kumkabili mbunge anayemaliza muda wake Dkt. Charles Kimei. Mapema leo Juni 28, 2025 saa 2 asubuhi,…