
ACT- WAZALENDO KUWAKUMBUSHA WATANZANIA KULINDA KURA KUPITIA OPERESHENI MAJI MAJI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaa. Chama cha ACT Wazalendo kimezindua kampeni ya Operesheni Maji Maji, inayolenga kuwaamsha Watanzania kulinda kura zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 29, 2025 jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu wa Idara ya Uenezi wa chama hicho, Shangwe Ayo, alisema: “Ziara hizi ni…