Skip to content
July 1, 2025
  • WAJUMBE WA CCM MOROGORO WALIZWA KWA KIGEZO CHA ZAWADI KWA ALLY HAPI
  • CPA LUBUVA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KONDOA
  • NMB KUHUDUMIA ZAIDI YA WATEJA 900,000 SABASABA
  • TRA KUTOA HUDUMA YA TIN VIWANJA VYA SABASABA
Taifa Tanzania

Taifa Tanzania

Gazeti lako la kila siku

  • NYUMBANI
  • KITAIFA
    • BIASHARA
    • SIASA
    • UCHUMI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • GAZETI TAIFA TANZANIA
  • MAWASILIANO
  • Biashara
  • Burudani
  • Fashion
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Makala
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi

Chief Editor

Saroj Mhr

Lorem ipsum is simply dummy text
  • NYUMBANI
  • KITAIFA
    • BIASHARA
    • SIASA
    • UCHUMI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • GAZETI TAIFA TANZANIA
  • MAWASILIANO
Youtube Live
  • Home
  • 2025
  • June
  • 30

Highlight News

Kitaifa
WAJUMBE WA CCM MOROGORO WALIZWA KWA KIGEZO CHA ZAWADI KWA ALLY HAPI
Kitaifa
CPA LUBUVA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KONDOA
Biashara
NMB KUHUDUMIA ZAIDI YA WATEJA 900,000 SABASABA
Kitaifa
TRA KUTOA HUDUMA YA TIN VIWANJA VYA SABASABA

Day: June 30, 2025

  • Kitaifa

CPA LUBUVA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KONDOA

Aziza Masoud18 hours ago18 hours ago01 mins

Na Mwandishi Wetu,KondoaMJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Comrade CPA.Hassan Lubuva amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kondoa kupitia chama hicho. CPA Lubuva amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025 na kukabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Wazazi wa chama hicho willaya Juma Seif katika ofisi za…

Read More
  • Biashara

NMB KUHUDUMIA ZAIDI YA WATEJA 900,000 SABASABA

Aziza Masoud21 hours ago21 hours ago03 mins

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam ZAIDI ya wafanyabiashara 3000 na wateja 900,000 wanatarajiwa kutembelea banda la benki ya NMB katika Maonesho ya 49 ya  Biashara Dar es Salaam (DITF)   maarufu kama Sabasaba kwa ajili yakupata huduma mbalimbali ikiwemo kufungua akaunti. Akizungumza leo Juni 30, 2030 katika  viwanja vya Sabasaba,Mkuu wa Matawi na Mauzo wa benki…

Read More
  • Kitaifa

TRA KUTOA HUDUMA YA TIN VIWANJA VYA SABASABA

Aziza Masoud24 hours ago24 hours ago02 mins

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imewataka wananchi wanaohitaji  kuhudumiwa masuala mbalimbali yakikodi  ikiwemo namba ya utambulisho wa biashara (TIN) kufika katika viwanja vya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba kuweza kupata huduma hiyo Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 30, 2025…

Read More

Habari Zote Mpya

  • WAJUMBE WA CCM MOROGORO WALIZWA KWA KIGEZO CHA ZAWADI KWA ALLY HAPI
  • CPA LUBUVA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KONDOA
  • NMB KUHUDUMIA ZAIDI YA WATEJA 900,000 SABASABA
  • TRA KUTOA HUDUMA YA TIN VIWANJA VYA SABASABA
  • ACT- WAZALENDO KUWAKUMBUSHA WATANZANIA KULINDA KURA KUPITIA OPERESHENI MAJI MAJI
  • ALI NURDINI ‘SIX’ AJITOSA UBUNGE KONDOA MJINI
  • MMILIKI MWANAMKE AONGOZA MAGEUZI YA UCHIMBAJI WA SHABA MPWAPWA
  • DKT. DOTO BITEKO ACHUKUA FOMU JIMBO LA BUKOMBE
  • ALIYEONGOZA KURA ZA MAONI VUNJO 2020,KUMKABILI TENA DK.KIMEI
  • WACHIMBAJI WA SHABA WAASWA KUJIUNGA VIKUNDI KUNUFAIKA NA FURSA ZA MAENDELEO

Habari Zote

  • Biashara
  • Burudani
  • Fashion
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Makala
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi
© 2024 Taifa Tanzania. All rights reserved. Powered By BlazeThemes.