WACHIMBAJI WADOGO DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA NA AFYA WA UTUNZAJI WA MIGODI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma WACHIMBAJI wadogo kutoka migodi ya shaba iliyopo katika Mkoa wa Dodoma wamepatiwa mafunzo maalum kuhusu usalama mahali pa kazi, afya, utunzaji wa mazingira na usimamizi wa shughuli za uchimbaji. Mafunzo hayo ni sehemu ya jitihada za kuimarisha uchimbaji salama na endelevu nchini. Mafunzo hayo yamewahusisha wachimbaji kutoka Mgodi wa Shengde uliopo Nala,…

Read More

MAVUNDE AKABIDHI JENGO LA KUPUMZIKIA WANANCHI HOSPITAL YA RUFAA YA DODOMA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde leo amekabidhi jengo la kupumzikia wananchi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ambalo litasaidia kutatua changamoto ya wananchi wengi ambao hawakuwa na eneo lenye staha la kupumzika wakati wakiwa wanawahudumia wagonjwa wao. Hafla hiyo ya kukabidhi jengo hilo imeongozwa na Mkuu wa Mkoa wa…

Read More

SERIKALI YAZIDI KUHAMASISHA NISHATI SAFI, YATOA MITUNGI 225 KWA WATUMISHI GEREZA KUU MAWENI

Na Mwandishi Wetu,Tanga Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kuwezesha, kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu umuhimu wa matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa watumishi wa magereza na wananchi ili kufikia malengo yaliyoainishwa kwenye mkakati wa kitaifa wa matumizi ya nishati safi ya kupikia (2024 – 2034). Hayo yamebainishwa leo Juni 24, 2025…

Read More