
USHIRIKI WA TAWA KATIKA MAONESHO YA 49 YA BIASHARA YA KIMATAIFA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inashiriki katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa kwa mwaka 2025 yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere, vilivyopo barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam. Kupitia maonesho haya, TAWA inatumia fursa hii kutangaza bidhaa na huduma mbalimbali zinazohusiana na utalii…