
KOZI FUPI YA UENDESHAJI MITAMBO ITAKAVYOWAOKOA WAHITIMU VETA
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imewataka wahitimu wa shule za sekondari pamoja na wafanyakazi waliopo viwandani kujiunga na chuo hicho kusomea kozi zakuendesha mitambo na machine za viwandani. Akizungumza leo Julai 4, ,2025atika Maonesho ya Biashara ya 49 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DTIF) maarufu…