
TASAC:BADO KUNA UHABA WA MABAHARIA VIJANA KASOMEENI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania(TASAC) Mohamed Salum amewataka vijana kujiunga na vyuo vinavyotoa kozi za masuala ya madini kwakuwa sekta ya Usafiri Majini bado ina uhaba mkubwa wa mabaharia. Hayo ameyasema jana Julai 7,2025 na Salum wakati alipotembelea banda la TASAC kwenye Maonesho ya 49 ya…