KUMRADHI  CCM MOROGORO 

Na Mwandishi Wetu,Morogoro UONGOZI wa  Website  ya Taifa Tanzania inaomba radhi kwa stori iliyochapishwa Julai Mosi yenye kichwa cha habari ‘Wajumbe wa CCM Morogoro walizwa kwa kigezo cha zawadi kwa Ally Happy’ kwakuwa stori hiyo ilinukuliwa vibaya. Katika stori ambayo ilidaiwa kuwa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Morogoro kuwa imechangisha  michango…

Read More