
JAB YAMUONYA DIVA KUKIUKA MAADILI, YAMKABIDHI PRESSCARD
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari -JAB, imempa onyo Mwandishi na Mtangazaji Mwandamizi wa Kituo cha Radio cha Wasafi Media, Diva Gisele Malinzi kwa kosa la kutangaza maudhui yanayokiuka maadili ya taaluma ya Habari na utangazaji ikiwa ni pamoja na kulazimisha kutoa taarifa binafsi za Msanii wa Muziki Ruta…