
DK.YONAZI:KILA SEKTA IJIANDAE KUPOKEA WAGENI KUELEKEA CHAN
NA MWANDISHI WETU – DODOMA KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amezitaka sekta zote kujianda kupokea wageni mbalimbali kuelekea Mashindano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) yanatayorajiwa kuanza Mwanzoni mwa mwezi wa Agosti 2025. Dkt. Yonazi ametoa rai hiyo wakati akiongoza Kikao cha Makatibu Wakuu cha…