
ACP MWAKABONGA:TUSAIDIANE KUPUNGUZA AJALI ZA BODABODA
Na Mwandishi wetu,Dar es Salaam JESHI la Polisi nchini kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani wameishukuru kampuni ya Oryx Energy kwakutoa elimu na msaada wa vifaa muhimu vya kiusalama kwa maafisa usafirishaji maarufu kama bodaboda na kutoa wito kwa kampuni nyingine kuiga utaratibu huo ili kupunguza ajali za barabarani. Msaada huo ambao umetolewa kupitia kampeni ya…