
BALOZI SIRRO: SEKTA YA UTALII KIGOMA IMEIMARIKA
Na Asha Mwakyonde, Dodoma SEKTA ya Maliasili na Utalii imeendelea kutekeleza mipango mbalimbali ya kuendeleza nakuhakikisha uhifadhi mzuri wa maliasili sambamba na upatikanajiendelevu wa huduma za kiuchumi, kijamii na kimazingira kwajamii katika serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Hayo yaliyasemwa juzi jijini hapa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Mkuu…