
BODABODA WANAOBEBA MIZIGO MIKUBWA WAONYWA
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kimekemea tabia ya baadhi ya madereva wa pikipiki kubeba mizigo hatarishi inayozidi ukubwa wa vyombo vyao kama milango, mageti au makabati kwakuwa inachangia kusababisha ajali za barabarani. Kauli hiyo ameitoa mwanzoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Usalama Barabarani Chang’ombe,…