
KATIBU MKUU KIONGOZI KUFUNGUA MAFUNZO KWA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KATIBU Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dk. Moses Kusiluka anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo ya siku nne kwa watendaji wakuu wa taasisi, mashirika ya umma na wakala wa serikali. Mafunzo hayo yatakayofanyika kuanzia Julai 28-31, 2025 katika shule ya uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha, mkoani Pwani, yanaratibiwa na…