
UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 29, KAMPENI KUFANYIKA KWA MIEZI MIWILI
Na Asha Mwakyonde, DODOMA TUME ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), leo imezindua Kalenda ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025, Oktoba 29, 2025 Siku ya Jumatano Itakuwa ndiyo Siku ya Kupiga Kurahuku ikiwataka wadau wote ikiwa ni pamoja na wananchi kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi kwa kuzingatia sheria, kanuni, miongozo na maelekezo yatakayotolewa na…