
RAIS DK.SAMIA KUZINDUA KITUO CHA BIASHARA EACLC IJUMAA
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Kituo cha Cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo kesho ambapo kina maduka 2000 ya biashara pamoja na miundombinu nyingine. Akizungumza jijini leo Julai 30, 2025,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila alisema kituo hicho kilichojengwa na serikali…