
URIO AREJESHWA KINYANG’ANYIRO CHA UDIWANI KATA YA KUNDUCHI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SIKUmoja baada ya viongozi wa matawi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kunduchi kuandamana hadi ofisi za chama hicho mkoa wa Dar es Salaam kulalamikia kukatwa kwa jina la aliyekuwa diwani wa kata hiyo Michael Urio, jina hilo limerejeshwa katika orodha ya wagombea. Awali kabda ya kupitishwa…