
TBA YAELEZA MCHANGO WAKE KATIKA SEKTA ZA KILIMO, UVUVI NA UFUGAJI NANE NANE
Na Asha Mwakyonde, DODOMA AFISA Uhusiano kutoka Wakala wa Majengo (TBA), Renatus Sona ameeleza kuwa mchango wa wakala huo katika Sekta ya kilimo Uvuvi na Mifugo ni mkubwa kutokana na miradi ambayo wameitekeleza, kuendeIea kuitekeleza katika maeneo hayo. Hayo ameyasema leo Agosti 3,2025 katika Maonesho ya Wakulima na Wafugaji ‘Nane nane’ ambayo yanafanyika kitaifa kwenye…