
TMX YAUZA KAKAO YENYE THAMANI YA SH BILIONI 3.7 NANE NANE
Na Mwandishi Wetu,Dodoma SOKO la Bidhaa Tanzania (TMX) limefanikiwa kuuza kakao yenye thamani ya shilingi billioni 3.7 katika maonesho ya NaneNane Kitaifa yanayoendelea jijini Dodoma. Akitoa taarifa hiyo leo, Afisa Masoko wa TMX, Bi. Shanny Mringo, amesema kuwa jumla ya tani 255 za kakao zimeuzwa kupitia mfumo huo wa kidigitali kwa bei ya shilingi 14,520…