MBUNGE KIBAHA ADAIWA KUHARIBU MCHAKATO KURA ZA MAONI

Na Mwandishi Wetu,Pwani WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  katika jimbo la Kibaha Mjini wilayani ya Kibaha mkoani Pwani wamedai kuwa uchaguzi wa ndani wa chama hicho ulitawaliwa na  vitendo vya rushwa na kusababisha wajumbe kupitisha viongozi wasiokuwa waadilifu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti viongozi na wananchi wa eneo hilo walidai kuwa kuna haja ya kubadilisha…

Read Full News

MHANDISI MRAMBA AFUNGUA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA YA NISHATI JUA KWA WATAALAM

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaa KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba amefungua mafunzo ya wataalam kutoka taasisi mbalimbali nchini yanayohusu usanifu, utengenezaji na ufungaji wa mifumo ya Nishati ya Jua na matumizi yake. Matumizi hayo ni kuchemsha, kupika, kupoza maji pamoja na kukausha mazao kwa kutumia nishati ya Jua. Akifungua mafunzo hayo…

Read Full News

WIZARA YA KATIBA NA SHERIA YATUMIA MAONESHO YA NANE NANE KUPUNGUZA MIGOGORO YA ARDHI,KUTOA ELIMU YA KISHERIA

Na Asha Mwakyonde, DODOMA KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali kupunguza migogoro ya kisheria miongoni mwa wananchi, Wizara ya Katiba na Sheria inaendelea kutoa huduma katika maonesho ya Wakulima (Nane Nane) yanayoendelea kitaifa jijini Dodoma. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri, ametoa pongezi kwa Wizara hiyo baada ya kutembelea banda lao Agosti 6, 2025,…

Read Full News