MGOMBEA URAIS WA AAFP AHIMIZA UZALENDO KAMA NGUZO KUU
Na Asha Mwakyonde, DODOMA MGOMBEA wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), KUNJE NGOMBARE MWIRU, akiongozana na Mgombea Mwenza Chimu Abdallah Juma JUMA, leo Agosti 9, 2025, wamehitimisha zoezi la uchukuaji wa fomu kwa siku ya leo katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), jijini Dodoma….

