DKT. BITEKO AZINDUA PROGRAMU YA UGAWAJI MAJIKO YA UMEME KWA BEI YA RUZUKU KWA WAFANYAKAZI WA TANESCO
Na Mwandishi Wetu,Dodoma IMEELEZWA kuwa, matumizi ya nishati safi ya kupikia ni ajenda ya kitaifa inayolenga kuhamasisha wananchi kutumia nishati safi na salama ya kupikia ikiwemo nishati ya umeme. Aidha, takwimu za mwaka 2022 zinaonesha kuwa Watanzania wanaotumia nishati ya umeme kwa ajili ya kupikia ni asilimia 4.2 tu huku ikitajwa kuwa idadi hiyo ni…

