REA YAHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA WAJASIRIAMALI SONGWE
Na Mwandishi Wetu,Songwe WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umetoa wito kwa Wajasiriamali Nchini kuchangamkia fursa zinazopatikana kupitia eneo la Nishati Safi ya Kupikia ili kujizalishia kipato sambamba na kuunga mkono Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa lengo la kulinda afya na kuokoa mazingira. Mtaalam wa Nishati na Jinsia kutoka REA,…

